SCHOOL MOTTO
HIGH WE AIM
SCHOOL ANTHEM
1. MUNGU IBARIKI BARICHO
WABARIKI WANAFUNZI WAKE
WAALIMU NA WAFANYAKAZI
SOTE KWA PAMOJA
TUPE MUONGOZO
.
2. ELIMU NDIYO MSINGI WETU
USJINDI SISI TWANJIVUNIA
TWAZIDI KUPAA JUU
MUNGU UTUONGOZE
NGUVU TUNEEMESHE
.
3. VIJANA VIONGOZO WA KESHO
TWAJITAHIDI KUWA WASHIDI
ELIMU NA MICHEZO TWASHINDA
MUNGU UTUONGOZE
BARICHO NI YA WASHINDI