Mkuu wa somo la Kiswahili
Champileacho kuwa mgagaa na upwa hali wali mkavu. Ni kutokana na juhudi zetu za mchwa kutoka January mpaka sasa ndio maana tunamatumaini ya kupita vyema katika mtihani WA kitaifa. Mashindano ya lugha ya kiswahili yalishamiri huku tukiibuka washindi katika kila shining.
Walimu WA kiswahili wamejitilea mhanga kwa kuhakikisha kuwa kila mwanagenzi anafaulu. Mikakati na udurusu WA hali ya juu ndio unaoendelea katika shule hii.
Kiswahili ni somo tuwe na ujasiri WA kuendeleza udurusu kwa kutumia mitihani tofauti tofauti tunayopea wanafunzi hasa watahiniwa.
Shukrani kwa Mwalimu Bwana Kuria kwa kuhakisha kuwa vitabu vya kudurusu ni vingi mno humu chuoni.
Natoa heko na hongera kwa walimu wote WA kiswahili wanao jisatiti kikamulifu ili kuwatayarisha wanfanzi hasa watahiniwa. Kwa kweli tuna imani imara kuwa mwaka huu tutaweka shule yetu katika ramani ya taifa.
Wanaidara ni : Pauline Kimani, Elizabeth Wairimu, Githuka, Alice, Nene, Faith, Mwangi, Edward Kabia, Elizabeth Migwi, Patricia, Beatrice, Erick KInyua, na Jane Kamaru
YEAR | SCORE | A | A- | B+ | B | B- | C+ | C | C- | D+ | D | D- | D- | E |
2021 | 10433 | 79 | 129 | 96 | 52 | 20 | 3 | 2 | 0 | 2 | 0 | 0 | 0 | 0 |
2020 | 9.842 | 37 | 76 | 99 | 55 | 26 | 15 | 6 | 2 | 0 | 2 | 0 | 0 | 0 |
2019 | 9.104 | 12 | 58 | 93 | 98 | 64 | 23 | 16 | 8 | 2 | 1 | 0 | 0 | 0 |